Habari! Kutakuwa na vikao vya kubadilishana lugha ya Kiswahili kila wiki mnamo (wakati wa Uingereza) Jumanne 17:00 - 18:00 na Jumamosi 04:00 - 05:00. Tafadhali jiunge nasi ikiwa una nia ya Kiswahili. Kila mtu anakaribishwa kujiunga. Tutaonana baadaye!
Hello everyone! There will be weekly Swahili language exchange sessions on (UK time) Tuesday 17:00 - 18:00 and Saturday 04:00 - 05:00. Please join us if you are interested in Swahili. Everyone is welcome to join. See you!